December 21, 2014


 Beki Martin Skrtel amekuwa shujaa baada ya Arsenal kuongoza katika kipindi cha pili kwa bao la Olviere Giroud  aluyefunga katika dakika ya 64.


Liverpool ilikuwa ya kwanza kupata bao katika dakika ya 45 kupitia Coutinho na Arsenal ikasawazisha katika dakika hiyo kupitia Debuchy.

Mechi hiyo ilikuwa ngumu na yenye mvuto kutokana na ushindani mkubwa.

Mshambuliaji Fabio Borini wa Liverpool alikuwa kivutio baada ya kuingizwa kipindi cha pili, lakini akalambwa kadi mbili za njano na kuzaa nyekundu.












0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic