December 21, 2014


 Mshambuliaji wa timu ya Makipa Tanzania, Ivo Mapunda akimtoka beki wa Taswa FC wakati wa mechi ya kirafiki iliyomalizika kwa timu hiyo ya waandishi kuchapwa mabao 3-0 kwenye Uwanja wa Bora Kijitonyama jijini Dar.



ABUU HASHIM AKIJARIBU KUMILIKI MPIRA MBELE YA WILBERT MOLANDI WA TASWA FC.

DIDA (KUSHOTO) AKIPAMBANA DHIDI YA MARTIN MIDO WA TASWA FC...


IVO DHIDI YA MARTIN WA TASWA FC...

BEKI WA KATI WA TASWA FC, SWEETBERT LUKONGE AKICHUKUA MPIRA MBELE YA SHABANI KADO WA TIMU YA MAKIPA. KULIA NI MOLANDI AKIWA TAYARI KUTOA MSAADA.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic