January 27, 2015

MSHAMBULIAJI WA SIMBA, EMMANUEL OKWI AKIKOKOTA MPIRA KATIKA MAZOEZI YA SIMBA KWENYE UWANJA WA BOKO JIJINI DAR, LEO. HATA HIVYO BENCHI LA UFUNDI LA SIMBA LIMESEMA HALITAMTUMIA OKWI KATIKA MECHI YAKE DHIDI YA MBEYA CITY KESHO KWA KUWA ALIUMIA KWA MADAI YA KUPIGWA KIWIKO NA BEKI AGGREY MORRIS HALI ILIYOSABABISHA AZIMIE. DAKTARI WA SIMBA AMEOMBA AENDELEE KUMUANGALIA. 





1 COMMENTS:

  1. Ni vyema kwa kuwa ni muda mfupi tu umepita tangu apate maumivu ambayo ni hatari sana,
    ila kwa jinsi ninavyowajua simba watamtumia tu,shauri yako Okwi ukibubali kucheza,jali afya yako.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic