January 27, 2015

Mshambuliaji wa Simba, Danny Sserunkuma alishindwa kujizuia na kumvuta kwa nguvu beki Juuko Murishid katika mazoezi ya timu hiyo kwenye Uwanja wa Boko jijini Dar.



Waganda hao wawili walipambana wakati wakiwania mpira, lakini Juuko alionekana kumzidi nguvu Sserunkuma ambaye alimvuta kwa nguvu.

Hata hivyo beki huyo aliongeza nguvu na kumuacha Sserunkuma akibaki ameduwaa.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic