February 28, 2015


Mbunge wa Mbinga Magharibi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Kepteni John Komba amefariki dunia.


Komba amefariki dunia leo mchana kutokana na ugonjwa wa moyo.

Amefariki dunia kwenye Hospitali ya TMJ wakati madaktari wakijaribu kuokoa uhai.

Komba ndiye alikuwa kiongozi wa kundi la TOT, pia alikuwa msanii akiimba kwaya katika kundi hilo.

Kundi la TOT lilijumuisha sanaa mbalimbali zikiwemo kwaya, dansi, sarakazi na taarabu.


RIP Komba.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic