February 28, 2015


Mbeya City imeziachia pointi mbili baada ya kutoka sare ya bao 1-1 ya Ruvu.



Katika mechi hiyo ya Ligi Kuu Bara iliyochezwa kwenye Uwanja wa Sokoine Mbeya, City imeshindwa kufurukuta.

Kabla ya mechi hiyo, City iliambulia kipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa Yanga.

Yahaya Tumbo wa Ruvu ndiye aliitibulia City alipofunga bao lililozaa matokeo hayo ya 1-1.

Wakati huo huo, Coastal Union imetamba nyumbani katika mechi ya jiji la Tanga kwa kuitungua Mgambo kwa bao 1-0.

Bao la Coastal Union limefungwa katika dakika ua 88 kupitia Mganda Lutimba Yayo raia wa Uganda.

Mashabiki walijitokeza kwa wingi kuzishuhudia timu hizo mbili za Tanga zikionyeshana  ubabe.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic