April 19, 2015

PLUIJM AKIWA NA MKEWE PAMOJA NA MTOTO WAO WA KIKE AMBAYE NI WA PILI KUZALIWA. PLUIJM NA MKEWE WAMEJAALIWA WATOTO WAWILI, WA KIUME NA WA KIKE.
Pamoja na sare ya bao 1-1 ambayo haikumfurahisha Kocha Hans van der Pluijm wa Yanga, leo atajipoza kwa kuungana na familia yake kusherekea siku ya kuzaliwa kwa mkewe.

Mkewe Pluijm raia wa Ghana yuko nchini na Pluijm atakuwa naye pamoja kusherekea siku hiyo muhimu.

"Hatukufanya vziuri tulivyotaka, halikuwa jambo zuri kwetu lakini nitaungana na mke wangu kusherekea siku yake muhimu sana," alisema Pluijm.

Ingawa hakusema ni wapi sherehe hiyo itafanyika, mkewe Pluijm yuko jijini Dar es Salaam.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic