April 19, 2015

Soka lina jazba, ilikuwa noma wakati Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba, Said Tully aliposhindwa kujizuia na kutaka kuzichapa hadharani.

Ilikuwa katika uwanja wa Sokoine mjini Mbeya wakati Tully ambaye ni mtaratibu alipobadilika na kuwa mbogo na kutaka kuzichapa. Hata hivyo, akaamuliwa asizichape, cheki mwenyewe.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic