April 18, 2015


Wakongwe Simba wameshindwa kuonyesha cheche baada ya kulala kwa mabao 2-0 mjini Mbeya.

Wenyeji Mbeya City wanaovaa jezi za rangi za zambarau ndiyo waliowafunga Simba bao hizo mbili na kukatiza ndoto yao ya kuchukua pointi zote 15 za mechi zao tano za mwisho.

Wakati Simba “wamepotea” njia Mbeya, Azam FC wameng’ara kwenye Uwanja wa Azam Complex jijini Dar.


Azam FC wamewafunga Kagera Sugar kwa mabao 2-1 katika mchezo mkali kwenye uwanja huo wanaoumiliki.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic