July 29, 2016



Kikosi cha KRC Genk anachokichezea Mtanzania Mbwana Samatta kimepata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Cork.

Ushindi huo ni katika mechi ya kuwania kucheza Kombe la Europa na sasa Genk iliyokuwa nyumbani itatakiwa kulinda ushindi huo finyu katika mechi ijayo ugenini.

Shujaa wa Genk alikuwa ni Bailey ambaye alifunga bao hilo pekee huku Genk wakipoteza nafasi nyingi za kupata mabao zaidi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic