December 6, 2016



Simba itakuwa mwenyeji wa Yanga katika mechi ya Ligi Kuu Bara itakayopigwa Februari 18, 2017 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.


Mechi hiyo itakuwa ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara baada ya ile ya mzunguko wa kwanza kwisha kwa sare ya 1-1, Shiza Kichuya akisawazisha baada ya lile bao la Amissi Tambwe lililolalamikiwa kwa kuwa alishika kabla ya kuukwamisha wavuni.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic