December 6, 2016



Kikosi cha Simba, rasmi kimeanza kambi kwa ajili ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara.

Kambi ya Simba iko eneo la Nanenane mjini Morogoro ambako watakuwa wakiajiandaa.

Simba imepanga kumaliza mzunguko wa pili ikiwa kileleni, yaani mabingwa.

Kikosi hicho chini ya Joseph Omog, kimemaliza mzunguko wa kwanza kikiwa kileleni baada ya kushinda mechi 11, sare mbili na kupoteza mbili katika mechi zao 15 za mzunguko wa kwanza.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic