April 25, 2017




Kocha Rafa Benitez, amefanikiwa kuirejesha tena Newcastle katika Premier League.

Newcastle imeitwnaga Preston kwa mabao 4-1 na kufanikiwa kurejea Ligi Kuu England.

Mabao ya Christian Atsu, Matt Ritchie na Ayoze Perez yameisukuma Newcastle kwenye ligi hiyo maarufu zaidi.


Licha ya kuwa kocha mkubwa lakini Benitez alikubali kuteremka na kurejea na timu hiyo hadi daraja la kwanza akiwa na matumaini ya kuipandisha.









0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic