May 25, 2017



Singida United wameonyesha hawana utani katika usajili baada ya kumnasa kiungo nyota wa Mbeya City, Kenny Ally Mwambungu.

Baada tu ya kumnasa, wamemkabidhi jezi yake rasmi ambayo ni nane na ataitumikia akiwa na kikosi hicho kwa misimu miwili. Angalia viongozi wa Singida United walivyomkabidhi hiyo jezi.


1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic