August 22, 2017


Simba imefanya mazoezi yake ya mwisho leo kwenye Uwanja wa Boko Veterani jijini Dar es Salaam.

Hayo yanakuwa ni mazoezi ya mwisho kabla ya Simba kushuka Uwanjani kesho kuivaa Yanga ambao ni mabingwa wa Tanzania Bara.

Mechi hiyo ni ya Ngao ya Jamii na inachezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Kabla ya hapo, Simba ilikuwa kambini mjini Unguja wakati watani wao Yanga walikuwa mjini Pemba kujiandaa na mechi hiyo.




1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic