September 25, 2017


Kiungo Mjerumani Toni Kroos amepona na kurejea mazoezini kuungana na wenzake katika kikosi cha Real Madrid.

Madrid ambayo imekuwa ikisuasua, inajiandaa kuivaa Borussia Dortmund katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, mchezo utakaopigwa  kesho Jumanne.

Kurejea kwa Kroos kutaongeza morali hasa katika sehemu ya kiungo ambayo imekuwa ikionekana inahitaji nguvu ya Mjerumani huyo.








0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic