April 28, 2014






Luis Suarez ametisha baada ya kutangazwa kuwa mchezaji bora wa msimu wa Ligi Kuu England maarufu kama tuzo za PFA.

Pamoja na vituko lukuki kama kumuuma beki wa Chelsea, Branislav Ivanovic na kuingia kwenye kashfa ya kumbagua Patrice Evra wa Man United, lakini safari hii hakukuwa na namna ya kumyima tuzo hiyo.

Suarez amepachika mabao 30 na ndiye anaongoza katika listi ya wafungaji bora wa ligi hiyo ngumu zaidi.
Pamoja Suarez, mkali mwingine kiungo wa Chelsea, Eden Hazard yeye ameshinda tuzo ya mchezaji bora kijana wa Ligi Kuu England.





Mchezaji Bora wa Mwaka: Luis Suarez (Liverpool).
Mchezaji Bora Kijana wa Mwaka: Eden Hazard (Chelsea).
Mchezaji Bora wa Kike wa Mwaka: Lucy Bronze (Liverpool Ladies).
Mchezaji Bora wa Kike kijana wa Mwaka: Martha Harris (Liverpool Ladies)

TIMU BORA YA MWAKA LIGI KUU ENGLAND:

GK: Petr Cech (Chelsea)
RB: Seamus Coleman (Everton)
CB: Vincent Kompany (Manchester City)
CB: Gary Cahill (Chelsea)
LB: Luke Shaw (Southampton)
RM: Adam Lallana (Southampton)
CM: Steven Gerrard (Liverpool)
CM: Yaya Toure (Manchester City)
LM: Eden Hazard (Chelsea)
ST: Luis Suarez (Liverpool)
ST: Daniel Sturridge (Liverpool)


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic