October 29, 2014


Barcelona imemtuza kiungo wake mkabaji, Javier Mascherano kuwa mchezaji bora wa msimu wa 2013-14.

Mascherano amezawadiwa tuzo ya Aldo Rovira kwa kuwa na mchango mkubwa zaidi msimu uliopita.
Tuzo hiyo imetolewa leo kwenye Uwanja wa Camp Nou unaomilikiwa na Barcelona.

Aliyemkabidhi tuzo hiyo ni Josep Lluís Rovira, mmoja wa wakurugenzi wa Barcelona.

Tuzo hiyo ilipewa jina la Aldo Rovira baada ya kufariuki kwenye ajali. Wengine waliowahi kushinda tuzo hiyo iliyoanzishwa mwaka 2009 ni hawa wafuatao.


Leo Messi:
 (2012-13, 2010-11 na 2009-10)
Éric Abidal:

(2011-12).

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic