MECHI ya Simba dhidi ya Alliance FC imemalizika kwa Simba kuibuka na ushindi wa mabao 5-1 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Wafungaji wa Simba ni Okwi dakika ya 10 na 63, Kwasi dakika ya 30, Salamba dakika ya 70 na Chama dakika ya 88.
na bao la Alliance FC limefungwa na Khamis 90+4.
#TPL
Haya blog ya saleh..timu yako ikishinda 3 unaandika imefanya maajabu!wengine unaandika imepiga bao tanu(ila inawezakana ni maajabu kweli kuifunga timu inayokuzidi asilimia ya ball posession).point ni kwamba Yanga ikishinda hiyo headline inarembwa sana!blog ya aibu hii
ReplyDeleteHivi Saleh Ali unajua timu anayoishabikia au unaandika tu
DeleteBlog ya saleh inaandika kishabiki mno,lakini lililo muhimu ni kwamba,simba ni sawa na upepo ambao huw3zi kuuzuia kwa kiganja,mwacheni aendelee ila mwisho atanyoosha maelezo,na atakiri kwamba simba hii obalaa!tutachukua vikombe vyote hats ligi ya mbuzi,atapata tabu sana na time take mbovuiuu
ReplyDeleteLugha zao za kumaanisha zinatueleza waandishi wa blog hii ni washabiki wa au wanapenda timu ya Yanga..Hivi juzi na Jana hakukuwa na mechi kali?ushabiki wao unatuma akili zao kuona ni Leo ndio kuna mechi Kali..Ingekuwa ni Yanga imepiga MTU mkono hicho kichwa cha habari hii kisingekuwa simple hivyo!
ReplyDeleteMatokeo haya hayana cha ajabu nani ambaye hakutarajia Alliance kufungwa? Mikia FC achene hizo, timu hiyo ya Mwanza bado sana!
ReplyDelete