KUELEKEA mchezo wa kesho wa Kombe la Shirikisho unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa AzM Complex kati ya Azam FC v Pyramids ya Misri mashabiki ruksa kuutazama.
Awali mashabiki hawakupewa nafasi kwa ajili ya kushuhudia mchezo huo ila taarifa iliyotolewa leo Oktoba 15 imeeleza kuwa mashabiki 2,000 wameruhusiwa
Unajua mambo ya Africa sijui CAF yanatabilika ni predictable nili comment pale walipotoa zuio la mashabiki game za Yanga eti preliminary stage kwamba round inayofata wataruhusu na imetokea na nilisema watajifanya wanakuja na a certain number ,kwani kwa huu muda Ni jitihada gani zimefanyika mpaka wakaruhusu hapa CAF,TFF usanihi .com na nadhani hata Karia na wenzake ilipotolewa Yanga alikunywa Champion.
ReplyDelete