July 12, 2021

DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa walistahili kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa kuwa ulikuwa ni mpango wao tangu awali.

 Ushindi wa jana mbele ya Coastal Union wa mabao 2-0 uliwafanya wafikishe jumla ya pointi 79 ambazo hazitafikiwa na timu yoyote kwa sasa hivyo walitangazwa kuwa mabingwa wa msimu wa 2020/21 wakiwa na mechi mbili mkononi.

 

3 COMMENTS:

  1. Ubingwa huo atapewa Utopolo maana Ile kesi wameshinda

    ReplyDelete
  2. Bumbuli ana jambo letu

    ReplyDelete
  3. Wapewe tu mbona ni kawaida,unalipa kodi wewe ila matumbo makubwa na vitambi wanatoka wengine.acha wenye nchi wale mema ya nchi yao huku wakikurupuka kuingia mkataba na azam,ngoja uone wenzao kama wataingia kichwakichwa.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic