COUTINHO APIGA KIWALO CHA 'SIMBA' WACHEZAJI YANGA WAKIJIPUMZISHA
Mshambuliaji nyota wa Yanga, Coutinho ameonekana akiwa amevaa bukta nyekundu wakati wachezaji wa kikosi hicho wakiwa wamejipumzisha.
Wachezaji hao wameonekana wakiwa wamejipumzisha kwenye bwawa la
kuogelea kwenye hoteli ya LandMark, Mbezi Beach jijini Dar.
Coutinho raiwa wa Brazil, pekee ndiye alikuwa amepiga ‘kiwalo’
hicho cha Simba.
Si kawaida mchezaji wa Yanga kuvaa jezi au bukta, au wa Simba
akiwa kambini kuvaa jezi au bukta ya njano au kijani.
Hali hiyo imekuwa ni kama utamaduni kwa timu hizo.
Kweli nimeamini saleh umesomea udaku hata chupi unaiita bukta!
ReplyDelete