October 5, 2014



Makocha Jose Mourinho na mgeni wake Arsene Wenger leo nusura wazichape kavukavu uwanjani.
Wawili hao walitaka kuzichapa wakati Chelsea ikipambana na Arsenal.

Haijajulikana tatizo lilikuwa ni nini ingawa inawezekana Mourinho alisema jambo lililomuudhi Wenger.
Kutokana na hasira, Wenger alimfuata Mourinho na kumkwida, wakaanza kuvutana.
Baadaye mwamuzi aliwaita na kuwaonya akionekana anasisitiza wakirudia, watakwenda jukwaani.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic