October 15, 2014


Simba imemaliza mechi zake za kirafiki nchini Afrika Kusini kwa kupigo  cha mabao 2-0 dhidi ya Jomo Cosmos.

Mechi hiyo imechezwa mjini Johannesburg, Afrika Kusini na kumalizika kwa wenyejie kuibuka na ushindi.

Kipigo hicho ni cha pili kwa Simba ambayo ilifungwa na Wits mabao 4-2 baada ya kuwa imeanza kwa sare ya bila kufungana dhidi ya Orlando Pirates.
Simba ilipata pigo mapema katika kipindi cha kwana baada ya kiungo wake Jonas Mkude kulambwa kadi nyekundu.
Baadaye ikapata penalti lakini mshambuliaji wake Elius Maguli akapiga ikapiga mwamba na kutoka nje.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic