Sergio Aguero ni hatari, ndiye anayeongoza kwa mabao Ligi Kuu Enlgand lakini ndiye anayeongoza kwa kufunga mabao bora au ya kiwango cha juu.
Moja ya mabao hayo ni lile alilofunga jana wakati Man City ikiiangamiza Sunderland kwa mabao 4-1.
Alichukua mpira na kumpira beki mmoja aliyedhani atatoa pasi, akiwa umbali wa takribani mita 20, akaachia bunduki yenye kasi ya Kilomita 78.5 kwa saa. Inaonyesha kasi ya mguu wake kuufikia mpira kabla ya kupiga shuti ni sekunde .5. Muargentina huyu ni hatari.
0 COMMENTS:
Post a Comment