December 20, 2014


Gazeti la Championi ndiyo lilikuwa la kwanza kuitambulisha taulo ya kipa Ivo Mapunda baada ya kufanya naye mahojiano jijini Nairobi, Kenya.

Wakati huo akiwa Gor Mahia, Ivo alikuwa maarufu kwa kudaka penalti na hasa taulo yake ilionekana ni kama 'ndumba'.
Baadaye alijiunga na Simba na Taifa Stars aliitwa kutokana na makala hiyo kuelezea alichokuwa akikifanya Kenya.
Sasa jana, SALEHJEMBE imemkuta bado ana taulo lake la Gor Mahia hadi leo. eeh!

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic