Viatu vya rangi nyeupe
vinaonekana kuchukua soko na kuvipita vya rangi nyeusi.
Tathmini iliyofanywa kwenye
Ligi kuu England, inaonyesha viatu vyeupe sasa vinavaliwa kwa asilimia 48.
Kawaida viatu vyeusi ndiyo
utamaduni katika soka, lakini vimezidiwa na vyeupe.
White boots were once an
indication of a special Katika mechi za Premier League zilizochezwa kuanzia Desemba
13 hadi 15, imeonekana wachezaji walivaa viatu vya rangi nyeupe kwa wiki kuliko
nyeusi.
Ilionekana angalau asilimia
15 waliweza kuvaa viatu vye ye rangi nyeusi inayoonekana ya asili.
Pia rangi ya kijani ikapiga
hatua kwa kasi na kuonekana kuipita nyeusi kwa kufikisha asilimia 16.4.
Hapo zamani, viatu
vilivyokuwa vikivaliwa ni rangi nyeusi tu, taratibu ikaanza kuchanganywa na
nyeupe, halafu nyekundu na baadaye njano labla ya rangi nyingine kuingia.
Angalau Hull City imeonekana kuwa na wachezaji wengi wanaotumia viatu vyeusi ukilinganisha na timu kama Arsenal, Burnley, Leicester, Sunderland, Liverpool, Chelsea na nyingine.
Mshambuliaji nyota wa
Chelsea, mabao yake aliyofunga kwa miguu, ametumia viatu vya rangi ya bluu na
pinki kwa kuwa kwa sasa kampuni ya vifaa ya Puma, imetoa viatu vya rangi hiyo
vinavyovaliwa wakati mmoja.
0 COMMENTS:
Post a Comment