Winga wa zamani wa Tottenham
Hotspur na Ufaransa, David Ginola ametangaza kugombea Urais wa Shirikisho la
Soka la Kimataifa (Fifa).
Ginola ,47, amethibitisha
mbele ya waandishi kuwa atagombea urais.
Tayari uamuzi wake huo
umekuwa gumzo na amesisitiza atakuwa mshindani mkubwa Sepp Blatter.
0 COMMENTS:
Post a Comment