West Ham nayo imeamua
kujiimarisha ila sasa ni zamu ya uwanja wa kisasa ambao utagharimu zaidi ya
pauni 429, utajulikana kama Uwanja wa Olimpiki.
Uwanja huo wa kisasa tayari
umeanza kujengwa na mmiliki wa klabu hiyo amesisitiza watakapoanza kuutumia
misimu miwili ijayo, ndani ya misimu mitano anataka wawe wamechukua ubingwa.
Uongozi wa West Ham
unaamini baada ya uwanja, utaleta changamoto mpya katika soka la kimataifa na
kuipa klabu changamoto ya kutaka kufanya vizuri ikiwa ni pamoja na kupata
faida.
0 COMMENTS:
Post a Comment