SERENA |
Mcheza tenisi namba moja
duniani, Serena Williams amesonga katika raundi ya tatu ya michuano ya
Australian Open kwa kumg’oa Vera Zvonareva raia wa Urusi.
Serena amemtoa Mrusi huyo
kwa seti mbili mfululizo za 7-5 na 6-0.
Hata hivyo Zvonareva aliyewahi
kuwa namba 2 kwa ubora kabla ya kuporomoka hadi 203, alionyesha upinzani mkali
katika seti ya kwanza kabla Serena kucharuka katika seti ya pili.
ZVONAREVA |
0 COMMENTS:
Post a Comment