Rooney
aliwashitukiza wachezaji wa Man United baada ya kuanza kutua mazoezini akiwa na
gari jipya la kisasa zaidi la BMW i8.
Mchuma
huo una thamani ya pauni 105,000 (zaidi ya Sh milioni 273).
Gari
hilo ambalo ni toleo jipya lilikuwa ni kivutio zaidi kila sehemu kuanzia
mazoezini hadi alipopita.
Rooney
leo aliingoza Man United kuitwanga Liverpool kwa mabao 2-1 ikiwa nyumbani kwao.











0 COMMENTS:
Post a Comment