Mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa alikuwa
kati ya mashabiki walioishuhudia timu yake ikipambana na Mgambo Shooting katika
mechi ya Ligi Kuu Bara.
Ngassa alikuwa pamoja na mashabiki wengine
wa Yanga kutokana na kuwa majeruhi. Jana alishindwa kufanya mazoezi na wenzake.
0 COMMENTS:
Post a Comment