YANGA IMEENDELEA NA MAZOEZI LEO CHINI YA KOCHA MKUU HANS VAN DER PLUIJM KWENYE UWANJA WA KARUME JIJINI DAR ES SALAAM YAKIWA NI MAZOEZI YAO YA MWISHO KABLA YA KUONDOKA KWENDA ZIMBABWE KUWAVAA FC PLATINUM. YANGA ILISHINDA KWA MABAO 5-1 KATIKA MCHEZO WA KWANZA KWENYE UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR. SASA INAHITAJI SARE YA AINA YOYOTE LAKINI INAJUA HAUTAKUWA MCHEZO LAHISI. |
GOD BLESS YANGA,BLESS TANZANIA.
ReplyDelete