Taifa
Stars sasa itatumia uzi mpya na mechi dhidi ya Misri wikiendi ijayo ndiyo
itakuwa ya kwanza.
Uzinduzi
huo umefanyika leo katikati ya jiji la Dar es Salaam.
Jezi
hizo ni aina tatu, moja ikiwa rangi ya bluu, moja nyeupe na nyingi
imechanganywa rangi zote mbili za bluu na nyeupe.
Wageni waliohudhuria katika mkutano wa TFF walionyeshwa jezi hizo na vijana waliokuwa wamzivaa baada ya kupanda jukwaani.
Jezi imetengenezwa na kampuni gani ya vifaa vya michezo? Adidas, Nike au puma
ReplyDelete