July 2, 2015


 
England imetolewa kwenye nusu fainali ya Kombe la Dunia la wanawake baada ya kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Japan.


Sasa Japan itacheza fainali ya Kombe la Dunia wikiendi hii dhidi ya Marekani.

Ndioto za England zilikuwa ni kucheza fainali, lakini imeshindikana baada ya beki wake wa kati Laura Bassett kujifunza katika dakika za nyongeza.

Baada ya mechi hiyo, Bassett alishindwa kujizuia na kuangua kilio muda wote.

Hali iliyosababisha wachezaji wengine wa England nao kuangua kilio wakijua wanakwenda kucheza mechi ya kutafuta mshindi wa tatu.
















0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic