Ronaldinho Gaucho amerejea Brazil, amjiunga
free na kikosi cha Fluminense.
Ishu ilikuwa ni pale alipotambulishwa kwa
mashabiki ambao awali hawakuamini ameondoka nchini Mexico na kurejea kwao
Brazil.
Idadi ya mashabiki zaidi ya 20,000
waliojitokeza kumkaribisha nyumbani kiungo huyo mwenye miaka 35, imeonyesha
kiasi gani bado ni kipenzi cha watu.
Kama utazungumzia wachezaji watano
wanaopendwa zaidi bila ya kujali umri, sidhani kama utamuondoa Dinho. Hakika ni
noumaa.











0 COMMENTS:
Post a Comment