Toronto Raptors imeichakaza Orlando Magic kwa pointi 106-103 katika mechi ya NBA Global Games iliyofanyika jijini London.
Mechi hiyo ilifanyika kwenye Uwanja wa
London's O2 Arena na kuhudhuriwa na nyota kibao wa mchezo wa soka wakiwemo wanaocheza sasa na wakongwe waliostaafu kama Michael Ballack, Robert Pires na Didier Drogba.
Ilikuwa mechi kali kweli, kali hasa na yenye mvuto utafikiri ile ya mashindano.
PICHA: DAILY MAIL
0 COMMENTS:
Post a Comment