May 14, 2016

 

Kikosi cha timu ya wanawake ya Arsenal kimebeba ubingwa kwa kuitwanga Chelsea iliyokuwa bingwa mtetezi kwa bao 1-0.

Arsenal yenye chini ya Kocha Arsene Wenger imekosa kombe hata moja, sijui Wenger amewaona wanadada hao walivyofanya kazi nzuri.


Hata Chelsea walitaka kujipoza, lakini imeshindikana. Kwani ubingwa umekwenda Arsenal huku timu yao ya wanaume ikiwa imefulia ile mbaya msimu huu.

Arsenal (4-2-3-1): Van Veenendall 6; Scott 6.5, Henning 7.5, Stoney 8, Mitchell 6.5; Williams 7.5 (Janssen 74mins, 6.5), Losada 7; Oshoala 7.5 (Williamson 89), Nobbs 8, Carter 8.5; Smith 7 (Van de Donk 74, 6.5)
Unused subs: Byrne, Pablos Sanchon
Booked: Oshoala
Goal: Carter 18
Manager: Pedro Martinez Losa 7
Chelsea (4-2-3-1): Lindahl 7.5; Blundell 6.5, Bright 5.5 (England 78), Flaherty 6.5, Borges 5; Spence 6, Chapman 6; Davison 7, Ji 6, Carney 6.5 (Aluko 55, 7); Kirby 6.
Unused subs: Spencer, Rafferty.
Booked: England
Manager: Emma Hayes 6
Referee: Sarah Garratt 7
Attendance: 32,912

Player of the Match: Danielle Carter

1 COMMENTS:

  1. mjomba uandishi umekushinda .kwa kuitwa chelsea ndio wamechukua fa. kazi za watu waachieni wenyewe

    ReplyDelete

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV