July 10, 2016


Cristiano Ronaldo ameumia baada ya kugongwa goti na Dimitr Payet. Amelazimika kutoka na nafasi yake kuchukuliwa na Ricardo Quaresma.

Hali hiyo imewapa hofu kuu Wareno ambao wengi waliangua kilio lakini Ronaldo naye aliangua kilio wakati akitolewa kwa kuwa alitaka kuisaidia nchi yake dhidi ya Ufaransa.


Itakuwaje, endelea kufuatilia kwa kuwa mechi inaendelea.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV