July 11, 2016


Ndege iliyokuwa imewabeba, Cristiano Ronaldo, Luis Nani, Pepe na wachezaji wengine wa timu ya taifa ya Ureno ilimwagiwa maji yenye rangi nyekundu na kijani wakati ikiwasili mjini Lisbon.

Hiyo ilikuwa ni ishara ya heshima kwa kuwa nyekundu na kijani ni rangi za bendera ya taifa la Ureno.


Ureno wametwaa kombe la Euro 2016 hilo kwa kuifunga Ufaransa ambao ni wenye kwa bao 1-0.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV