October 29, 2016


Man United imetoka sare ya bila bao licha ya kuwa nyumbani Old Trafford katika mechi kali ya Ligi England.

Sare hiyo ni dhidi ya wabishi Burnley ambao wanekuwa kati ya timu za Ligi Kuu England zilizoondoka na pointi angalau moja pale Old Trafford.

Sare hiyo ni presha nyingine kwa Kocha Jose Mourinho ambaye leo alikuwa jukwaani.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV