VIONGOZI WA TFF KUPANDISHWA KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA RUSHWA Kuna viongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), wanatarajia kupandishwa kizimbani leo. Taarifa zinaeleza viongozi hao watapandishwa kizimbani baada ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kufanya uchunguzi wake na kukamilika.
0 COMMENTS:
Post a Comment