December 16, 2016



Yanga imefanya mazoezi yake ya mwisho leo kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam kabla ya kesho kurejea na kuanza kazi ya kutetea ubingwa wake.

Yanga chini ya Kocha George Lwandamina itashuka dimbani kwa mara ya kwanza katika mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya JKT Ruvu inayomilikiwa na jeshi, kwenye Uwanja wa Uhuru.


Katika mazoezi ya leo, wachezaji wa Yanga walionekana wako fiti na tayari kwa ajili ya mzunguko wa pili unaonanza kesho.





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic