Hans van der Pluijm raia wa Uholanzi, sasa ni bosi wa juu zaidi wa Yanga unapozungumzia masuala ya ufundi.
Jana alikuwa jukwaani akishuhudia Yanga ikipambana na JKT kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam na kuibuka na ushindi wa mabao 2-0.
Kabla, Pluijm alikuwa kocha mkuu wa Yanga na kuipa ubingwa mara mbili kabla ya nafasi yake kuchukuliwa na George Lwandamina raia wa Zambia.







0 COMMENTS:
Post a Comment