February 22, 2017


Adam Lallana amesaini mkataba mpya wa miaka mine kuendelea kuichezea Liverpool.

Mkataba huo mpya, Lallana atakuwa akilipwa pauni 150,000 kwa maana kwamba maslahi yameongezeka.



Kiungo huyo mwenye kasi mwenye umri wa miaka 28 mkataba wake na Majogoo hao, sasa utaisha mwaka 2021 ikiwa ni siku chache baada ya kiungo mwingine Philippe Coutinho kusaini mkataba wa miaka mitano.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic