April 9, 2017


Beki Pepe ataikosa mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya wakati Real Madrid itakapoivaa Bayern Munich. 


Pepe atalazimika kukaa nje baada ya kuvunjika mbavu wakati alipogongana na mchezaji mwenzake Toni Kroos wakati wakiwania mpira katika mechi ya La Liga dhidi ya Atletico Madrid.


Vipimo vimeonyesha Pepe amevunjika mbavu mvili na mara moja ametolewa kwenye list ya wacheaji watakaocheza mechi hiyo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV