May 7, 2017


Kocha Jose Mourinho ameamua kuwaita wachezaji vijana kujumuika katika kikosi cha Manchester United kitakachoivaa Arsenal leo.

Kati ya wachezaji wa timu ya vijana walioitwa ni pamoja na Matthew Olosunde, Demetri Mitchell na Matty Willock.

Hii ni kutokana na kikosi cha Man United kuandamwa na majeruhi.Sura za vijana hao zinaonekana ni ngeni na maswali kwa wengi, watawaweza Arsenal?

 
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV