Ingawa Arsenal ina uhakika wa asilimia 91 hadi sasa kumnasa Danny Welbeck kutoka Man United lakini kuna mjadala umezuka.
Lakini mjadala mkubwa kwa sasa unaendelea huku wakala wake akisisitiza,
bora Arsenal imchukue moja kwa moja.
Wakala wake anaaamini dili la muda mrefu ni bora kuliko muda mfupi kama
wanavyotaka Arsenal.
Lakini Kocha Arsene Wenger wa Arsenal tayari anaamini kila kitu
kitafanikiwa na anasubiri Welbeck afanyiwe vipimo.
Welbeck analazimika kuondoka Arsenal kwa kuwa ujio wa Ramadel Farcal
ambaye anaungana na Robin van Persie na nahodha Wayne Rooney, hakutakuwa na
nafasi kwake.
0 COMMENTS:
Post a Comment