May 31, 2017Pamoja na mashabiki wengi wa Arsenal kuonekana wangependa Arsene Wenger aondoke, yeye ameendelea kuchota mamilioni.

Tokea atue Arsenal, Kocha Arsene Wenger amechota takribani Sh pauni milioni 40 kwa ajili ya usajili wake tu.

Mara ya kwanza mwaka 1996 alipojiunga na Arsenal akitokea Japan, Wenger alilipwa pauni 500,000. Lakini mkataba wake mpya wa miaka miwili atalipwa pauni milioni 8.

Hii inamfanya Wenger kuwa katika kundi la makocha watano wenye thamani ya juu katika ligi hiyo kila wakati wa kusaini mkataba mpya.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV