February 19, 2018


Kikosi cha Yanga kimefikia katika Hoteli ya Reef Holiday ya nchini humo.

Hoteli hiyo ya nyota tatu ni kati ya hoteli bora kabisa kwa Shelisheli ukiondoa zile ambazo zaidi hutumika kwa ajili ya utalii.

Yanga ipo nchini humo kwa ajili ya mechi yake ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya St Lois. Katika mechi ya kwanza, Yanga ilishinda kwa bao 1-0.












0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic